Tarehe iliyowekwa: October 7th, 2025
AFISA USAFIRISHAJI, DEREVA WA PIKIPIKI YA MATAIRI MAWILI (BODABODA) WAKATI WA KUMCHAGUA KIONGOZI UNAYEMTAKA UMEKARIBIA NI SIKU YA JUMATANO OKTOBA 29,2025.
VITUO VITAKUWA WAZI KUANZIA SAA 1...
Tarehe iliyowekwa: October 7th, 2025
Kila mwananchi aliyejiandikisha ana haki ya kupiga kura.
Vituo vitakavyotumika wakati wa kupiga kura ni vituo vilivyotumika wakati wa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura la Tume ...
Tarehe iliyowekwa: October 6th, 2025
Kwa kutambua umuhimu wa maandalizi sahihi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe itakuwa kwenye vijiji mbalimbali kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mbolea kulingana na aina ya mazao yana...