• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika

Idara ya Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji katika Halmashauri ya Mji Njombe ina jumla ya  Watumishi  ishirini na mbili (22) na Wanne (04) Wakiwa kutoka idara ya  Ushirika. Halmashauri ya Mji Njombe inategemea kilimo, ufugaji na Misitu kwa asilimia 78, wafanyabishara asilimia 11, watumishi wa umma na sekta binafsi asilimia 6 na shughuli nyingine asilimia 5. Sekta ya binafsi inachangiwa na makampuni na mashirika ya fedha ikiwemo mabenki ya National Microfinance Bank (NMB), National Bank of Commerce (NBC), CRDB,   NJOCOBA na Saccos hai 13 zinazoendelea kutoa huduma za kifedha.

Mazao yanayolimwa katika Halmashauri ya Mji Njombe ni pamoja na;

  • Mazao ya chakula ni Mahindi, ngano, maharage, ulezi, viazi mviringo na njegele.
  • Mazao ya biashara ni Chai, Kahawa, Maua na alizeti.
  • Mazao ya matunda na mboga mboga ni Apples, Peaches, Plums, pears, Avocado (Parachichi), ndizi, cabbage, nyanya, vitunguu, mchicha na figili 

MAJUKUMU YA IDARA KILIMO UMWAGILIAJI NA USHIRIKA

  1. KILIMO

  • Kuratibu, kufuatilia, Kusimamia na kutathmini utekelezaji wa kazi zote za kilimo katika Halmashauri
  • Kusimamia shughuli za huduma za ugani zinazotolewa na sekta za umma na sekta binafsi ndani ya halmashauri na kuandaa mikataba ya kutoa huduma za ugani kwa kushirikiana na Mwanasheria wa halmashauri
  • Kuratibu na kusimamia maandalizi ya makisio ya mahitaji ya pembejeo na zana za kilimo na upatikanaji na usambazaji wake
  • Kutoa taarifa ya mlipuko ya magonjwa na wadudu waharibifu ngazi ya Mkoa,
  • Kuhamasisha na kuimarisha mitandao ya wakulima
  • Kuwawezesha wakulima kutambua fursa na vikwazo vilivyopo katika matumizi ya teknolojia zilizopo na uzalishaji wa mazao ya kilimo ili kupeleka teknolojia sahihi kwa wakulima kulingana na mahitaji yao.
  • Kusimamia shughuli zote za umwagiliaji
  • Kuthibiti visumbufu vya mimea na mazao 

b) USHIRIKA 

  • Kuratibu na Kusimamia shughuli zote za sekta ya maendeleo ya Ushirika katika Halmashauri
  • Kuhakikisha vyama vya ushirika vinaandikishwa na kutangaza kuvifuta pale itakapotakiwa kufanya hivyo
  • Kuchambua makisio ya mapato na matumizi ya vyama na kutoa mapendekezo kwa mrajisi wa vyama vya ushirika
  • Kufanya mapitio ya sera na sheria ya ushirika na kushauri ipasavyo
  • Kushirikiana na watafiti katika kuendesha na kutoa matokea ya vishamba vya majaribio (vya vishamba darasa- FFS) mbegu na mbolea na madawa katika Halmashauri.
  • Kutoa mafunzo kwa wakulima juu ya matumizi bora ya mbolea na mbegu na madawa
  • Kuwatembelea wauzaji pembejeo za kilimo (Agro-Dealers) ili kupata bei za pembejeo zilizoko sokoni na kuwapa taarifa hizo wakulima
  • Kushirikiana na wadau mbalimbali wa kilimo ili kuweza kufanya tafiti za kuwezesha kukusanya taarifa mbalimbali za kilimo kwa lengo la kupata takwimu zitakazosaidia kupanga mipango ya kuendeleza sekta ya kilimo, utafutaji wa masoko, usindikaji na mapato yatakayotokana na kilimo.
  • Kutumia takwimu kutabiri upatikanaji wa mavuno ya mazao mbalimbali katika mwaka husika na mwenendo wa uzalishaji kwa miaka inayofuata.

 

 Fursa za uwekezaji zilizopo katika Sekta ya Kilimo 

  • Jumla ya eneo lote la Halmashauri ni hekta 321,200.Eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta 192,700. Eneo linalofaa kwa kilimo cha umwagiliaji ni hekta 3,193. Mazao yanayoweza kupatikana katika maeneo haya ni mahindi, maharage, nyanya, mboga, chai, vitunguu, njegere, na viazi mviringo.
  • Eneo linalofaa kwa kilimo cha matunda ni kilomita za mraba 481.75 (Parachichi, Peas, Matofaa, Peach, plums, Nanasi,”Topetope-Annona spp”, passion , na machungwa. Eneo linalofaa kwa kilimo cha mazao ya chakula na Biashara ni kilomita za mraba 1,927( mahindi, maharage, ngano,viazi mviringo, chai, alizeti na pareto)
  • Uwekezaji katika viwanda vidogo na vya kati vya kusindika bidhaa zitokanazo na Kilimo na Ufugaji ambavyo kwa kiasi kikubwa vinaweza kupunguza tatizo la ajira kwa vijana.
  • Uwekezaji katika mazao mbadala: Uwekezaji  katika kilimo cha maua ni  moja ya  sekta    muhimu kwa maendeleo ya taifa kutokana na kuchangia katika pato la taifa ikiwa ni pamoja na kutoa ajira kwa watu wengi.
  • Uwepo wa hali ya hewa inayofaa kwa ufugaji wa ng’ombe wa maziwa na nyama
  • Maeneo ya kunenepeshea mifugo (Feedlot)
  • Uwepo wa malighafi za kutosha kuwezesha uboreshaji wa ufugaji wa kuku wa asili na nguruwe bora.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe