1. MATUMIZI
(i)Kuandaa malipo yote
(ii)Kuandaa Bajeti ya matumizi ya kawaida,
(iii)Kuhakikisha uwepo wa nyaraka zote za malipo kabla na baada ya kulipa,
(iv)Kuhakikisha taratibu na sheria za kifedha zinatekelezwa,
(v)kuhakikisha kuwepo na majalada ya kumbukumbu kwa malipo yaliyolipwa,
(vi)Kufanya usaili wa kimahesabu kati ya benki na vitabu vya kumbukumbu vya Halmashauri.
(vi)Kuandaa taarifa za fedha na kuziwasilisha sehemu husika kwa wakati.
2: MAPATO
(i)Kuhakikisha inakusanya mapato yote ya Halmashauri,
(ii)Kuhakikisha kuna udhibiti mzuri wa mapato ya Halmashauri,
(iii)Kupeleka fedha taslimu na hundi benki
(iv)Kuandaa ripoti mbalimbali na kuziwasilisha sehemu husika,
(v)Kuweka utaratibu rahisi wa malipo ya fedha taslimu kwa wateja,
(vi)Kubuni vyanzo vipya vya mapato,
3: MlSHAHARA
(l)Kuandaa orodha ya watumishi kwa ajili ya kulipwa mishahara
(ii)Kutunza orodha ya watumishi wanaolipwa mishahara na kutunza kumbukumbu za makato yakatwayo watumishi kwenye mishahara yao
(iii)Kuandaa bajeti ya mishahara kwa watumishi
(iv)Kuandaa taarifa mbalimbali za mishahara na kupeleka sehemu husika
(v)Kushughulikia matatizo yote ya mishahara inayotokea kwa watumishi
4: KITENGO CHA TAARIFA ZA KIMAHESABU (Final account)
(i)Kuandaa usuluhisho wa taarifa za cashbook zinatunzwa halmashauri na zile zilizopo benki
(ii) Kujibu hoja za ukaguzi
(iii)Kuanda taarifa za mapato na matumizi
(iv)Kutunza cashbook.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe