ILI KUPATA HATI YA KUMILIKI ARDHI ZINGATIA YAFUATAYO;
6. Mara baada ya kupata matumizi husika Mthamini atatoa makadirio ya malipo ya maandalizi ya hati kulingana na matumizi yaliyopangwa.
7. Barua ya Toleo (Letter of Offer) hujazwa na mteja huandaliwa bili ya malipo.
8. Barua ya Offer hupelekwa kwa Afisa Ardhi mteule na kusainiwa na ndipo taratibu za kuandaa hati huanza mara moja.
9. Mpima Ardhi (Land Surveyor) atachora ramani ndogo (deed plan) ambayo inaonyesha vitu vifuatavyo;
NB: Namba ya Ofisi ya Ardhi (Land Office Number)
Ni namba inayotolewa na Afisa Ardhi anayoonyesha kuwa hati iliyoandaliwa imeandaliwa Mkoa gani,Wilaya na katika ofisi ipi.
10. Baada ya ramani kukamilika na kusainiwa na Mpima Ardhi,hati huandaliwa na muhusika au mteja hupatiwa kwa ajili ya kusainiwa.
11. Hati huchukuliwa na kupelekwa kwa Kamishna wa Ardhi kwa hatua ya usajili
Nyaraka zitakazopelekwa kwa Kamishna wa Ardhi ni;
Hati itakua imekamilika mara baada ya kukamilika kwa hatua zote kikamilifu.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe