• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

NAWEZAJE KUPATA MIKOPO INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI

TARATIBU NA VIGEZO VYA KUPATA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI ITOLEWAYO NA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE

 

  • VIGEZO NA TARATIBU ZA KUPATA MIKOPO YA KUNDI LA WANAWAKE NA VIJANA

 

•        Kikundi lazima kisajiliwe kama kikundi cha wanawake au vijana

•        Kikundi cha wanawake au vijana kiwe kinajishughulisha na ujasiliamali au kinakusudia kuanzisha shughuli za ujasilamali mdogo au wa kati

•        Kwa kikundi cha wanawake au vijana kiwe na idadi ya wanakikundi kuanzia watano na kuendelea

•        Kikundi cha wanawake au vijana lazima kiwe na akaunti ya benki ya iliyofunguliwa kwa jina la kikundi na kwa ajili ya matumizi ya kikundi.

•        Kikundi cha wanawake/vijana lazima wawe raia wa Tanzania wenye akili timamu na umri wa miaka 18 na kuendelea.

•        Kwa vikundi vya vijana lazima umri uzingatiwe kuanzia miaka 18 na ukomo wake ni miaka 35.

•        Wanufaika wa mikopo hii ni wale wasio na ajira rasmi.

•        Vikundi vyote lazima viwe na barua toka kwa Mtendaji wa Kijiji/Mtaa kwamba kikundi husika anakitambua kwa upana na miradi ya kikundi ilipo.

•        Kikundi cha wanawake/vijana wanaojishughulisha na biashara lazima wawe na leseni  ya kikundi.

•        Kikundi cha wanawake/vijana lazima kila mwanachama awe na kitambulisho cha NIDA

  • VIGEZO NA TARATIBU ZA KUPATA MIKOPO YA KUNDI LA WATU WENYE ULEMAVU
  •  

•        Kundi hili linaweza kukopeshwa kikundi au mtu mmoja,endepo Kamati ya kudumu ya Fedha,Mipango na Uongozi itajiridhisha kuwa mtu huyo amekosa mtu mwingine mwenye ulemavu na sifa ya kuwa mwanakikundi wa kikundi cha watu wenye ulemavu.

•        Anajishughulisha na ujasiriamali au anakusudia kuanzisha shughuli za ujasiriamali mdogo au wa kati.

•        Mlemavu lazima awe na akaunti benki  yenye jina lake halisi kwa matumizi yake ya kijasiriamali

•        Awe raia wa Tanzania mwenye akili timamu na umri wa miaka 18 na kuendelea.

•        Wanufaika wa mikopo hii ni wale wasio na ajira rasmi.

•        Kwa mtu mmoja mlemavu anayeomba mkopo lazima awe na cheti cha kuzaliwa.

•        Kwa kikundi/Mlemavu mmoja  lazima kuwa na barua toka kwa Mtendaji wa Kijiji/Mtaa kwamba kikundi husika anakitambua kwa upana na miradi ya kikundi ilipo.

•        Kikundi cha watu  wenye ulemavu/Mtu mwenye ulemavu anayejishughulisha na biashara lazima wawe na  Leseni ya biashara

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji Njombe yazindua wiki ya Mazingira kwa kufanya Usafi Idundilanga

    May 31, 2025
  • WATUMISHI WA DINI WATOA DUA KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE

    May 31, 2025
  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe