• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Baraza Maalumu la Waheshimiwa Madiwani lapitia na kupitisha rasimu ya Bajeti kwa 2022/2023

Tarehe iliyowekwa: February 11th, 2022

Baraza la Waheshimiwa Madiwani Halmashauri ya Mji Njombe Leo limepitisha rasimu ya bajeti ya kukusanya jumla ya Shilingi Bilioni 41.39 kwa mwaka 2022/2023,kati yake mapato ya ndani halisi ikiwa ni Shilingi Bilioni 5.17.
Akizungumza wakati wa kuwasilisha rasimu hiyo,Afisa Mipango wa Halmashauri ya Mji Njombe Shigela Ganja amesema kuwa katika makusanyo ya mapato ya ndani,fedha zitakazotumiwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo ni Shilingi Bilioni 3.1
Wakitoa mapendekezo yao katika rasimu hiyo baadhi ya Madiwani wamepongeza hatua hiyo lakini pia wametoa ushauri Mbalimbali ili bajeti hiyo iweze kuakisi matamanio ya Wananchi na kendelea kutoa mafanikio tarajiwa.
Kwa upande wake Mheshimiwa Edwin Mwanzinga Diwani wa Kata ya Matola ameshauri kuwa ni vyema Halmashauri ifanye upembuzi yakinifu wa vyanzo vya mapato ambavyo vimasimamiwa na Halmashauri yenyewe ambapo awali vilikuwa vya wazabuni.
"Tulikua na chanzo Cha ushuru wa choo lakini Kwa sasa tunakiendesha wenyewe naomba Wataalamu ifanyike tathmini ili kuona gharama za uendeshaji na salio linalobaki ili kuona kama faida ipo maana kwa jinsi ninavyoona inawezekana gharama za uendeshaji choo ziakawa kubwa ukilinganisha na kipindi ambapo tulikuwa na mzabuni."Alisema Mwanzinga
Kwa upande wake Mheshimiwa Ultrick Msemwa Diwani wa Kata ya Luponde ameshauri ni vyema zoezi la Ujenzi wa miradi ukazingatia kuanza mradi na kukamilisha wote ili kuepuka utawanywaji wa fedha katika miradi mingi ambayo kwa namna Moja miradi hiyo inachukua muda mrefu kukamilika kutokana na wingi wa miradi na upungufu wa fedha zinazotolewa.
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Njombe kwa pamoja limeridhia na kupitisha rasimu ya bajeti kwa mwaka 2022/2023.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe