Ikiwa ni siku ya tatu tangu kufanyika kwa uzinduzi wa kampeni ya chanjo ya Polio awamu ya tatu, Watoa huduma wameendelea kuwafikia Wananchi katika maeneo mbalimbali Mjini Njombe huku mwitikio ukiwa ni mzuri.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe