• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

HAMASA KWA SHULE ZA SEKONDARI YATOLEWA

Tarehe iliyowekwa: May 17th, 2023

HAMASA YATOLEWA NJOMBE TC KWA  SHULE ZA SEKONDARI KUFANYA VIZURI ZAIDI MITIHANI YA KIDATO CHA NNE. 


Hamasa hiyo imetolewa tarehe 16.Mei.2023 na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji NJOMBE Mhe.Erasto Mpete  Wakati akikabidhi zawadi kwa shule mbili za Sekondari zilizoongeza ufaulu na kufanikiwa kuondoa sifuri katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.

Halmashauri ya Mji NJOMBE Kupitia Mkurungenzi wake Mhe Kuruthumu Sadick Imetekeleza  ahadi yake ya kutoa zawadi kwa shule zinazofanya vizuri kwa mitihani ya kidato cha nne  katika operesheni ya tokomeza  sifuri. 

Miongoni mwa shule zilizopewa zawadi Tarehe 16/05/2023 ni shule ya sekondari  Luholola  na Shule ya Sekondari Mgola ikiwa ni utekelezaji wa makubalio yaliyofanyika katika siku ya wadau wa Elimu



Akizungumza kwa Niaba ya Mkurungenzi wa Halmashauri ya Mji, kaimu Mkurungenzi Ester Gama amesema" tumeweza kutekeleza agizo ambalo lilitolewa  katika kikao cha wadau wa elimu  kuutambua mchango wa watumishin wanapofanya vizuri katika kazi na inaongeza hamasa zaidi katika ufundishaji".



Kwa upande wake mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe ametumia fursa hiyo kuzipongeza  shule hizo kwa kuongeza ufaulu na  kufanikisha kufuta sifuri akieleza siyo kazi rahisi na zawadi hiyo itumike kama motisha kufanya vizuri Zaidi katika mtihani ijayo kwa shule Zote za sekondari ili kuiweka halmashauri katika Nafasi nzuri kiufaulu. 



Naye Prochesusi Mguli Afisa Elimu Sekondari ameseme kutolewa kwa zawadi hizo nikutambua mchango mkubwa wa walimu ambao wanaufanya katika kuhakikisha taaluma inakuwa kwa kasi na kudhamini mchango wao katika utendaji wa kazi.



Wakizungumza baada yakukabidhiwa zawadi hizo wakuu wa shule hizo mbili,Shule ya Sekondari Luholola na Shule ya Sekondari Mgola wemeushukuru uongozi wa halmashauri kwa kutekeleza ahadi hiyo nakusema hiyo ni motisha kwao na kwa waalimu wengine kujibidisha ili kufanya vizuri Zaidi.

"NI furaha kwangu kama mkuu wa shule. Kwa  shule yangu hii ni Mara ya kwanza kupokea zawadi hii tangu kuanza kutolewa, ni mwanzo mzuri na motisha kwetu Kuendelea kufanya vizuri." Amesema Mkuu wa Shule ya Sekondari Luhololo Mwalimu

Kwa upande wake Mkuu wa Shule ya Sekondari Mgola Mwalimu Mfungilwa Amesema pamoja na Kutokomeza sifuri katika Shule yake wamefanikiwa kuongeza ufaulu kwa kupata division one ya alama saba (7) Zaidi ya moja. Ameongeza kuwa siyo Mara Yao ya kwanza kwa shule hiyo kupokea zawadi hiyo Inaenda kuongeza hamasa na nguvu kwa waalimu kujituma Zaidi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe