Katika kuadhimisha ziku ya kimataifa ya mtoto wa kike,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Bi.Kuruthum Sadick anatoa wito kwa jamii kuendelea kuimarisha ulinzi kwa watoto ili kuwawezesha kutimiza ndoto zao.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe