"Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni moja tuu Ulimwenguni, na ndiyo inayozaa Watanzania, Jamhuri hiyo ni yetu na Tanzania ndiyo kwetu hatuna kwingine katu abadani, nawasihi kudumisha uzalendo kwa kuzidisha umoja na mshikamano wa kitaifa, tukifanya hivyo tutaurithisha muungano huu kwa viazi vyetu ukiwa imara zaidi."
"Nawasihi wanasiasa wenzangu kukumbuka kwamba, muungano ni wa watu siasa zetu zijikite kwenye kudumisha mafanikio yaliyopatikana katika miaka 60 ya muungano na tudhamirie kufanya siasa zenye kuleta maendeleo, kuwaunganisha watu, kuthaminiana na kudumisha misigi ya utawala wa sheria."
Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" Tumeshikamana na Tumeimarika kwa Maendeleo ya Taifa letu. "
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe