• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

RASIMU YA BAJETI YA BILIONI 45.6 YAPITISHWA NA BARAZA LA MADIWANI.

Tarehe iliyowekwa: January 28th, 2025

Januari 28, 2025 Baraza la Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Mji Njombe likiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Erasto Mpete,limepitisha rasimu ya mpango na bajeti ya Shilingi Bilioni 45.6 kwa mwaka wa fedha 2025/2026, katika kikao maalum kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Njombe.

Akiwasilisha bajeti hiyo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkurugenzi Ofisa Mipango John Malle alieleza kuwa bajeti hiyo imeandaliwa kwa kuzingatia vipaumbele  ambvyo ni ukamilishaji wa miradi viporo,utoaji wa elimu bure msingi na sekondari,kuwezesha mikopo kwa vikundi vya wanawake,vijana na wenye ulemavu,ajira za watumishi wapya na upandishaji wa vyeo, kupeleka sehemu ya mapato ya ndani kwenye ngazi ya vijiji kwa ajili ya uendeshaji pamoja na vingine kwa mujibu wa muongozo wa bajeti.

Wakichangia bajeti hiyo baadhi ya Waheshimiwa madiwani akiwemo Diwani wa kata ya Yakobi Mhe.Michael uhahula ,Diwani wa kata ya Uwemba Mhe.Jactan Mtelewele na Diwani wa Viti maalum Mhe.Angela Mwangeni ,walitoa pongezi kwa timu ya wataalamu wa halmashauri kwa maandalizi mazuri ya bajeti hiyo ambayo inawagusa wananchi kwa asilimia kubwa.

Walisisitiza ushirikiano wa karibu kati ya madiwani na wataalamu ili kufanikisha ukusanyaji wa mapato sambamba na kuendelea kudhibiti mianya ya utoroshaji wa mapato ili kufikia malengo ya ukusanyaji kwa asilimia 100.


MKutano hio baraza pia uliodhinisha bajeti ya Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) shilingi Bilioni 3.2 kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Bajeti hiyo inalenga kuboresha mtandao wa barabara za mijini na vijijini, hatua inayotarajiwa kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika maeneo mbalimbali ya halmashauri ya mji Njombe.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. June 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SALAMU ZA SHUKRANI

    July 01, 2025
  • SIKU NNE ZA KUSIKILIZA KERO NA MAONI YA WANANCHI LIMEHITIMISHWA KWA MAFANIKIO.

    June 30, 2025
  • Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Njombe atoa wito kwa Wananchi kujitokeza kupata huduma Stendi ya Zamani.

    June 27, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAPONGEZWA KWA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • Angalia zote

Video

LUNYANYWI FISH FARM YASHUGHULIKIA KERO ZA WAFUGAJI WA SAMAKI NJOMBE TC
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe