• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI WAKUMBUSHWA KUSIMAMIA UKUSANYAJI WA MAPATO

Tarehe iliyowekwa: September 22nd, 2023

Kaimu Mkurugenzi wa  Halmashauri ya Mji Njombe Thadei Luoga amewakumbusha  watendaji wa kata na vijiji wajibu walio nao wa kusimamia na kukusanya mapato ya Halmashauri kwenye maeneo yao ya kazi.

Wito huo umetolewa Septemba 22,2023 katika kikao kazi cha Watendaji wa Halmashauri ya Mji Njombe kilichokaa kwa lengo lakukumbusha vyanzo na njia mbalimbali za ukushanyaji mapato pamoja na kujenga uelewa wa mabadiliko yaliyofanywa na serikali kwenye baadhi ya mifumo ya ukusanyaji mapato kwenye Halmashauri.  

Katika hatua nyingine  Kaimu Mkurugenzi wa Mji Njombe aliwaomba watendaji hao kwenda kusimamia vema na kwa uadilifu miradi ya serikali  ambayo inatekelezwa katika maeneo yao ili miradi hiyo iweze kukamilika kwa wakati na kwa ufanisi unaotakiwa,pamoja na kuhakikisha  mapato katika maeneo yao yanakusanywa kwa mujibu wa sheria.

Aidha Ndugu Luoga amewaagiza watendaji wa kata na vijiji kwenda  kusimamia zoezi la kuandikisha wakulima wapya watakao pata pembejeo za kilimo na kuhuisha taarifa zao kwa wale waliokuwa wamejaza awali.

Naye  Benjamini Sibanulo Kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Njombe akizungumza katika kikao kazi hicho  amesema serikali haita vumilia endapo Kuna mtendaji atabainika kujihusisha na vitendo vya rushwa

Kikao hicho kiliwakutanisha watendaji pamoja na wakuu wa idara zenye vyanzo vya ukusanyaji wa mapato ndani ya Halmashauri ya Mji Njombe.

Ni muda sasa wa kwenda kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa ili tuweze kuyafikia malengo ya Mhe Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe