• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Video za shughuli za ofisi au kitaifa

  • NIMEONA YANAYOFANYIKA HUKO, KWETU YANAWEZEKANA PIA

    July 9th, 2024

    Mhe.Mwanaidi Ali Khamis Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu amepongeza kikundi cha Twaweza Kilichopo Kata ya Mji mwema Halmshauri ya Mji Njombe kwa kutumia Fursa za Mikopo ya asilimia 10 ambayo inatolewa na Halmashauri . 

    Naibu waziri ametoa Pongezi hizo Julai 05,2024 alipotembelea  eneo la uzalishaji la kikundi cha Twaweza ambacho  kinazalisha bidhaa mbalimbli za Ushonaji jambo ambalo limepelekea kuzalishwa kwa ajira nyingine ambazo zimetokana na mkopo huo ambao walipewa na Halmashauri .

     "Tumezoea kuyaona mambo haya China lakini kwa juhudi za Serikali tunayaona katika Nchi yetu niwapongeze vijana kwa uthubutu wenu wakufika na kujiunga na kikundi hiki na pia  niombe vijana kuweni mabalozi wazuri kwa wale ambao bado hawazijuwi fursa hizi " Alisema Mhe.Mwanaidi Ali Khamis Naibu Waziri wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Makundi Maalumu. 

    Aidha Mhe Naibu waziri ameiomba Idara ya Maendeleo ya Jamii kuendelea kutoa elimu juu ya ujio wa mikopo ya asilimia kumi ambayo itatolewa na Halmashauri kupitia Benki.

  • NATOA SIKU 4 WAFANYAKAZI WALIPWE -DC KISSA

    July 9th, 2024

    Mkuu wa Wilaya Njombe Mhe. Kisa Gwakisa Kasongwa amempa siku nne mmiliki wa kampuni ya Chai  ya DL Group kiwanda cha  Luponde kuhakikisha analipa madai ya wafanyakazi wake wote  ndani ya siku 4. 

    Ametoa agizo hilo  Julai 02 ,2024 alipoyembelea kiwandani hapo nakuzunhumza na wananchi pamoja na wafanyakazi ambapo Mhe Kisaa Kasongwa kampuni hiyo haiwatendei haki watumishi wake kwani ni miezi minne wameganya kazi bila malipo. 

    “Nimekuja kuwasikiliza wananchi wangu ambao mmekuwa mkipaza sauti niombe muwe wavumilivu huku Serikali ikiwa inapambania maslahi yenu ,nampa siku 4  mmiliki wa kiwanda hiki kuhakikisha anawalipa wafanyakazi wake wote ambao wanawadai Pamoja na kuwalipa mafao yao ya NSSF” Alisema Mkuu wa Wilaya Njombe Mhe Kissa Gwakisa Kasongwa. 

    Amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Kilimo itakuja na suluhisho la kudumu kuhusu mwekezaji huyo.

  • FEDHA ZIMETOLEWA HAKIKISHENI MIRADI INAKAMILIKA.

    July 9th, 2024
  • ← Prev
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • Next →

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA MJI NJOMBE August 19, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KWENYE ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI HALMASHAURI YA MJI NJOMBE March 25, 2022
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 15, 2022
  • TANGAZO LA UANDIKISHAJI WA VIJANA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA(JKT) MWAKA 2023/2024. August 31, 2023
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awasisitiza wenyeviti kuhimiza maadili na uadilifu katika uongozi

    February 14, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa njombe awataka wenyeviti wa vijiji na mitaa kuweka maslahi ya jamii mbele

    February 14, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awataka wenyeviti wa vijiji na mitaa kusimamia maendeleo na ustawi wa wananchi

    February 14, 2025
  • Wanafunzi 100 wapatiwa vifaa vya shule na Halmashauri ya Mji Njombe.

    February 14, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

Kurasa Mashuhuri

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe