• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Taratibu za uhamisho wa wanafunzi

ILI KUFANIKISHA UHAMISHO WA MWANAFUNZI TARATIBU ZIFUATAZIO ZINATAKIWA ZIFUATWE;

  1. Mzazi/Mlezi anapaswa kuandika barua kwa Afisa Elimu wa Halmashauri husika kuomba uhamisho wa mwanafunzi ambapo barua hiyo inatakiwa kupitia kwa Afisa Elimu Kata na Mwalimu Mkuu.
  2. Mzazi/Mlezi atatakiwa kuambatanisha fomu ya uhamisho yenye picha ya mwanafunzi husika kutoka katika shule anayohama.
  3. Mzazi/Mlezi atatakiwa kuhakikisha kuwa fomu hiyo ya uhamisho inajazwa na Mwalimu Mkuu wa shule anayohama mwanafunzi.
  4. Mzazi/Mlezi atatakiwa kupitisha fomu za uhamisho wa mwanafunzi kwa Afisa Elimu Kata
  5. Mara baada ya kukamilika kwa taratibu hizo Mzazi/Mlezi atatakiwa kupeleka nyaraka na taarifa za mwanafunzi katika Idara ya Elimu inayopatikana katika ofisi za Hlamashauri ya mji njombe zilizopo mtaa wa Lunyanywi Kata ya Mjimwema ili kuhakikisha kuwa kama mwanafunzi anayeombewa uhamisho amesajiliwa
  6. Mara baada ya kukamilika kwa zoezi la kuhakiki usajili wa mwanafunzi,uhamisho wa mwanafunzi  kutoka shule moja kwenda shule nyingine utakamilishwa kupitia mfumo wa PREM na uhamisho unakuwa umekamilika.

Matangazo

  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021,SHULE ZA KITAIFA, TEULE NA KUTWA WANAFUNZI WA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021, SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mkuu wa Wilaya ya Njombe awatoa hofu Watumishi.Awataka kumuenzi Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa kufanya kazi kwa uzalendo,ujasiri na uthubutu

    April 01, 2021
  • Watumishi Halmashauri ya Mji Njombe wapatiwa mafunzo utambuzi noti bandia na utunzaji fedha

    March 16, 2021
  • "Parachichi ni Pesa" Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ateta na Wakulima

    March 12, 2021
  • Waziri Mkuu azitaka Halmashauri zenye kilimo cha Chai kuanzisha vitalu vya miche

    March 10, 2021
  • Angalia zote

Video

Makala ya utekelezaji miradi ya maendeleo 2020 Halmashauri ya Mji Njombe
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe