• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAPONGEZWA KWA HATI SAFI

Tarehe iliyowekwa: June 17th, 2025

Juni 16, 2025 – Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka ameipongeza Halmashauri ya Mji Njombe kwa kupata hati safi katika taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Akizungumza katika mkutano maalum wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri hiyo uliolenga kupokea na kujadili hoja za CAG, Mhe. Mtaka alisema hati safi hiyo ni ishara ya uwajibikaji, uadilifu, na usimamizi mzuri wa rasilimali za umma uliofanyika kwa ushirikiano mkubwa kati ya Waheshimiwa madiwani na menejimenti ya Halmashauri ya Mji Njombe.

Alitumia fursa hiyo kuwapongeza waheshimiwa madiwani ambao wanamaliza kipindi chao cha uongozi baada ya miaka mitano akiwasisisitiza kutembea kifua mbele kwakuwa kazi kubwa iliyofanya na serikali kwenye maeneo yao imefanyika kipindi cha uongozi wao,hivyo wayaseme kwa wananchi.


"Madiwani mmefanya kazi kubwa,kwa kipindi cha miaka mitano, thamani ya fedha kwenye miradi ya maendeleo inaonekana.Mnaondoka mkitambuliwa na Serikali kwa kazi kubwa mliyofanikisha. Menejimenti imejituma na miradi mingi imefanikiwa." Alipongeza. Mhe. Mtaka.

Aidha, alipongeza jitihada za utoaji mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu na kusisitiza umuhimu wa kuhakikisha mikopo hiyo inarejeshwa ili iweze kuwafikia watu wengi zaidi.


"Kamati ya mikopo ifuatilie marejesho na vijana waambiwe wazi kuwa fursa zipo, waombe mikopo halali badala ya kukimbilia mikopo kandamizi," aliongeza.

Alisisitiza umuhimu wa kumaliza hoja 13 zilizobaki na kuepuka mazingira ya hoja zinazojirudia katika miaka ijayo.Aliwakumbusha viongozi kuwa Halmashauri ya Mji Njombe kama makao makuu ya mkoa, inabeba taswira ya mkoa hivyo ni lazima kuwe na mtazamo mpana wa maendeleo.


Alitoa wito kwa Halmashauri kutafuta maeneo mapya kwa ajili ya kupima na kumiliki ardhi ili kujiandaa na kunufaika na fursa za uwekezaji ikiwemo miradi ya kimkakati kama ujenzi wa reli itakayopita Njombe kutokea Wilaya ya Ludewa unapofanyika uwekezaji mkubwa kwenye madini ya chuma na makaa ya mawe kwenye mradi wa Liganga na Mchuchuma.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. June 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAPONGEZWA KWA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • SIKU YA MAPOROMOKO YA MAJI

    June 16, 2025
  • SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

    June 16, 2025
  • MHE. MTAKA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO, AIPONGEZA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE NA MAFUNDI.

    June 13, 2025
  • Angalia zote

Video

HUHITAJI TAKUKURU THAMANI YA FEDHA INAONEKANA -MHE. MTAKA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe