Kitengo hiki kina jumla ya watumishi saba (07). Kazi kubwa ya kitengo cha Ugavi na Manunuzi ni kuhakikisha mahitaji ya taasisi (Halmashauri ya Mji Njombe)
yanapatikana kwa kuzingatia ubora,muda muafaka wa utoaji huduma, mzabuni,mahali na gharama.Kwa maana nyingine hujulikana kama 5R’s.
MAJUKUMU YA KITENGO
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe