Jukumu la msingi la kamati ya maadili ni kuhakikisha kila Diwani anafuata taratibu za mwenendo wa madiwani utakaowawezesha kutekeleza majukumu yao kwa namna ambayo ikajenga na kudumisha Imani ya Umma kwa Serikali zao za Mitaa.
Kuchukua hatua kwa Diwani atakae enenda kinyume na kanuni za maadili ya madiwani na kanuni za kudumu za Halmashauri.