Kila mwananchi aliyejiandikisha ana haki yakupiga kura kumchagua kiongozi unayemtaka.
Hakikisha Oktoba 29,2025 siku ya Jumatano unajitokeza kwenda kupiga kura.
Unapokwenda kituoni kumbuka kubeba kadi yako ya mpiga kura.
Kura yako haki yako jitokeze kupiga kura.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe