• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Mifugo na Uvuvi

Halmashauri ya  Mji Njombe  ina jumla ya Ng’ombe  wa Asili 29,171 , Ng’ombe wa Maziwa 6,560, Mbuzi 18,164, Mbuzi wa Maziwa 384, Kondoo 3,740, Nguruwe 6,194, Mbwa 5,225, Punda 7,630, Paka  7,110, Simbilisi 29,205, Sungura 8, Kuku wa asili 18,510, Kuku wa Kisasa 35,789, Njiwa 679 na Farasi 9. Pia eneo linalofaa ni hekta 34,570, pandwa   ni hekta 157.

Kwa upande wa ufugaji wa samaki, Halmashauri ya Mji Njombe ina jumla ya wafugaji 96 wa samaki ambapo kwa ujumla wao wana mabwawa 156 ya samaki aina ya perege.

Kwa upande wa miundo mbinu ya Mifugo, Halmashauri ya Mji Njombe ina Maabara ya Mifugo 1 inayofanya kazi, Machinjio Kubwa  ya Ng’ombe na Mbuzi 1, majosho 12 yaliyotawanyika katika Karibu kata zote ambayo 8 yanamilikiwa na Serikali na majosho 4 ya Watu Binafsi.

Pia katika Halmashauri ya Mji Njombe Kuna Kiwanda Kikubwa cha Maziwa chenye uwezo wa kusindika lita  6000 kwa siku ambapo mazao mbalimbali ya maziwa yanazalishwa kama  Mtindi (Yogurt),  Maziwa fresh (Pasteurized milk), Jibini( Cheese) za aina mbalimbali kama Kachota, Asiago na Provoloni. Kiwanda hicho kina Maabara ya kisasa yenye uwezo wa kupima ubora wa maziwa.

UPEKEE WA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE KATIKA SEKTA YA MIFUGO NA UVUVI:

Katika sekta ya Mifugo na Uvuvi, Ufugaji wa ng’ombe wa Maziwa  na Kuku ndizo shughuli ya pekee ambapo kuna wafugaji wenye uelewa mkubwa na pia kuna ng’ombe wa maziwa  aina ya Ayrshire, Friesian na Chotara ambapo wanauwezo wa kutoa lita 5 hadi 20 kwa siku.   Mfugaji wa Kuku  ana Shamba la kuku lenye kuku wa asili  600 na Kisasa 1200

SHUGHULI KUU ZA IDARA YA MIFUGO NA UVUVI

  1. Kusimamia Usafi na Ukaguzi wa nyama machinjio kuu ya Halmashauri ya Mji Njombe na Kata zote.
  2. Kusimamia uendelezaji wa ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.
  3. Kusimamia ubora wa maziwa yanayozalishwa na bidhaa zake.
  4. Kutoa huduma ya Kinga na Tiba kwa mifugo ili kudhibiti magonjwa mbalimbali ya mlipuko. (Homa ya nguruwe (African Swine Fever), Kichaa cha Mbwa, Kideri, Chambavu (Black Quarter)). Foot and Mouth Disease ( FMD), Lumpy Skin Disease( LSD),
  5. Kusimamia uzalishaji/ufugaji wasamaki.Ukusanyaji takwimu za samaki na uhamasishaji wa ufugaji bora wa samaki.
  6. Kusimamia ufugaji wa wanyama wadogo wadogo, (Kuku, Bata, Kanga, Mbuzi, Kondoo,   Nguruwe, Simbilisi na Sungura).
  7. Ukusanyaji wa Takwimu mbalimbali za Mifugo na uvuvi na kuzichambua.
  8. Kusimamia sheria mbalimbali za Mifugo na Uvuvi . (Usafirishaji, Uchinjaji, Sheria ya Magonjwa ya Mifugo Na. 17 ya Mwaka 2003, Sheria ya Maziwa Na 8 ya Mwaka 2004, Sheria ya haki za Wanyama  2010 na Sheria ya Malisho na vyakula vya Mifugo ya Mwaka 2010, Sheria ya biashara ya Ngozi ya Mwaka 2010, Sheria ya Uvuvi ya Mwaka  na sheria ndogo  ya Halmashauri na  Mkataba wa huduma kwa mteja ya Julai, 2015).
  9. Kusimamia masoko na minada ya mifugo.
  10. Kusimamia uzalishaji ngozi.Uchunaji na uhifadhi wake.
  11. Usimamizi wa huduma za ugani katika Idara.
  12. Kushughulikia Maslahi mbalimbali ya Watumishi wa Idara ya Mifugo na Uvuvi.
  13. Kusimamia shughuli za uboreshaji wa koo safu za
  14. Kusimamia uogeshaji wa Mifugo ili kudhibiti magonjwa yaenezwayo na kupe.
  15. Kutoa mafunzo mbalimbali za ufugaji bora wa mifugo kwa wafugaji na jamii kwa ujumla.
  16. Kushirikiana na Sekta binafsi katika uendelezaji wa Sekta ya Mifugo na Uvuvi

WAFANYAKAZI   WA  IDARA YA MIFUGO NA UVUVI
Idara ya Mifugo na Uvuvi ina jumla ya wafanyakazi 26 ambapo watumishi 10 wapo Ofisi kuu na Watumishi 16 wapo katika ngazi ya Kata na Mitaa/Vijiji.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe