"KURA YAKO HAKI YAKO JITOKEZE KUPIGA KURA"
Vituo vitakavyotumika kupiga kura ni vituo vilivyotimika wakati wa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura la Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi.
Mwambie mwingine siku zimebaki 10 shime kila mmoja ajitokeze kupiga kura kumchagua kiongozi anayemtaka.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe