• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Taarifa ya Utekelezaji wa Miradi Mbali Mbali 2017

Start Date: 2016-07-01
End Date: 2017-06-30

 

Halmashauri ya Mji Njombe kwa mwaka wa fedha 2016/17  ilipanga kukusanya na kutumia kiasi cha Shilingi 12, 214, 205,100 kwa ajili ya utekelezaji wa programu mbalimbali za maendeleo. Kati ya fedha hizo Shilingi 10, 835, 160,100 ni   ruzuku   kutoka   serikali   kuu na Wahisani wa Maendeleo,  na Shilingi  1, 379, 045,000 ni mapato ya ndani. Kwa ujumla hadi kufikia tarehe 30/6/2017, Halmashauri iliweza kupokea na kukusanya  jumla ya Tsh. Sh. 9,960,776,540.52 sawa na 81.5% ya bajeti iliyoidhinishwa, ambapo kati ya fedha hizo Shilingi 8,740,141,438.28 ni ruzuku ya miradi ya maendeleo toka Serikali kuu na shilingi 1,220,635,102.24 ni mapato ya ndani. Aidha, Halmshauri imepokea jumla ya Shilingi 260,093,173.24 nje ya bajeti iliyoidhinishwa kwa ajili ya utekelezaji wa kampeni ya usajili na utoaji wa vyeti kwa watoto chini ya miaka 5 (Birth Registration) na ruzuku ya utendaji wenye matokeo (P4R).  Katika kipindi cha robo ya nne pekee halmashauri imeweza kupokea kiasi cha shilingi 3,266,103,966.45 (Ruzuku - 3,000,424,715.21 na mapato ya ndani - 265,679,251.24) kwa ajili ya miradi ya Maendeleo. Taarifa yake imeambatanishwa


Matangazo

  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021,SHULE ZA KITAIFA, TEULE NA KUTWA WANAFUNZI WA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 18, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021, SHULE ZA SEKONDARI KATIKA HALMASHAURI YA MJI NJOMBE December 15, 2020
  • Tangazo la kazi za muda (Tume ya Taifa ya Uchaguzi) April 21, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 21, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Mji Njombe yatoa taulo za kike kwa Shule za Sekondari

    January 07, 2021
  • Jafo afurahishwa ujenzi wa Vituo vya Afya Njombe Mji

    December 22, 2020
  • Maandalizi ya kuhamia Soko jipya Njombe yaanza

    December 12, 2020
  • Halmashauri ya Mji Njombe Yatoa Milioni Mia Saba kwa Vikundi 72

    December 02, 2020
  • Angalia zote

Video

ULGSP kufanikisha ujenzi wa soko la kisasa Halmashauri ya Mji Njombe
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe