Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe anawatangazia wananchi wote kuwa zoezi la uandikishaji na kuwatambua wafanyabiashara wadogowadogo limeanza.
zoezi hilio linafanyika soko kuu kwenye ofisi ya meneja wa soko.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe