Tuesday 3rd, February 2026
@LUNYANYWI
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE BARAZA LA MADIWANI
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Bi.Kuruthum Sadick anawakaribisha wananchi wote kushiriki kwenye mikutano ya Baraza kama ilivyo kwenye ratiba.
Ushiriki wa wananchi katika mikutano ya Baraza la Waheshimiwa Madiwani unawawezesha kuelewa mchakato wa maamuzi, kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo, pamoja na kujenga imani kati ya viongozi waliochaguliwa na jamii wanayoihudumia ili kupunguza malalamiko ya huduma na uwajibikaji kutokana na kuimarika kwa uwazi na mawasiliano.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe