Friday 17th, January 2025
@Shule ya msingi Boimanda na Stendi ya Zamani Njombe Mjini.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Bi.Kuruthum Sadick ,anaawaalika wananchi wote wa Halmashauri ya Mji Njombe kwenye mbio za Mwenge wa Uhuru ndani ya Halmashauri .
Halmashauri ya Mji Njombe itapokea Mwenge wa uhuru alfajiri Juni 17,2024 kutokea Halmashauri ya Wilya ya Ludewa ,katika shule ya Msingi Boimanda iliyopo kijiji cha Boimanda.Baada ya kuupokea Mwenge wa uhuru utapita nakukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Halmashauri .
Mkesha wa Mwenge utafanyika katika viwanja vya stendi ya zamani, Njombe Mjini.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe