• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

BILIONI 5.3 ZATEKELEZA MIRADI YA MAENDELO KATA YA MJI MWEMA

Tarehe iliyowekwa: April 2nd, 2024

Kata ya Mji Mwema Halmashauri ya Mji Njombe  kwa kipindi cha  Miaka 3 ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt .Samia Suluhu Hassan imetekeleza miradi ya maendeleo yenye thamani ya Shilingi  Bilioni 5.3.

Akiwasilisha taarifa Aprili 2 ,2024 taarifa ya utekelezaji wa miradi hiyo mtendaji wa kata ya Mji Mwema Theophil Mwinuka amesema kwa awamu ya Sita ya Uongozi wa awamu ya sita kata ya Mji Mwema imepata mafanikio makubwa kwenye sekta  ya  elimu ,afya ,maendeleo ya Jamii ,kilimo ,mifugo ,barabara ,umeme ,maji, na shughuli za utekelezaji wa afua za lishe, ambavyo vimefanya wananchi wa  kata ya hiyo kufurahishwa na utendaji kazi wa Mhe Rais Samia Suluhu Hassan.

Akizungumza kwenye mkutano huo kwa niaba Mkuu wa wilaya ya Njombe Mhe Kissa Kasongwa, Afisa Tarafa ,Tarafa ya  Njombe Mjini  Lilian Nyemele ameompongeza  Raisi wa Jamhuri  ya Muungamo wa Tanzania kwa kuleta fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya  maendeleo akiwataka wanachi kuendelea kuunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali kuieletea nchi maendeleo.

Kwa Upande wake Diwani wa Kata ya Mji Mwema Mhe.Nestory Mahenge,ametumia fursa hiyo kuwaomba wazazi na walezi kuwapeleka watoto shule na kuona umuhimu wakuwapeleka bweni wanafunzi wa shule za sekondari ili waweze kufanya vizuri kwenye masomo yao. 

Pamoja na kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika mkutano huo ilitolewa huduma ya kutoa vyeti vya kuzaliwa na vitambulisho vya taifa.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. June 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SALAMU ZA SHUKRANI

    July 01, 2025
  • SIKU NNE ZA KUSIKILIZA KERO NA MAONI YA WANANCHI LIMEHITIMISHWA KWA MAFANIKIO.

    June 30, 2025
  • Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Njombe atoa wito kwa Wananchi kujitokeza kupata huduma Stendi ya Zamani.

    June 27, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAPONGEZWA KWA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • Angalia zote

Video

LUNYANYWI FISH FARM YASHUGHULIKIA KERO ZA WAFUGAJI WA SAMAKI NJOMBE TC
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe