• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

CRDB Njombe Yakabidhi Vifaa kupambana na CORONA

Tarehe iliyowekwa: March 27th, 2020

Benki ya CRDB kupitia Kanda ya Nyanda za juu kusini imekabidhi ndoo 14 na vitakasa mikono 14 kwa Halmashauri ya Mji Njombe lengo ikiwa ni kuunga mkono jitihada za Serikali kupambana na maambukizi ya virusi vya CORONA.

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo Meneja wa CRDB Kanda Denis Mulekwa na Meneja wa CRDB Tawi la Njombe Amin Mwakangata wamesema kuwa Benki hiyo imeona ni vyema kuendelea kuwakinga Wananchi dhidi ya maambukizi ya virusi vya CORONA kwani ili kuweza kushiriki katika shughuli kiuchumi yampasa mtu kuwa na afya njema.

“Tumepata elimu kuwa moja kati ya njia inayoweza kutumiwa kujikinga na virusi vya CORONA ni kunawa mikono na kuitakasa. Tumetoa ndoo na vitakasa mikono vitakavyowezesha Wananchi kuweza kunawa katika maeneo yatakayoonekana kuwa na uhitaji mkubwa. Sisi kama Benki tunaamini ili tuweze kushiriki vyema katika shughuli za Kiuchumi tunahitaji watu wenye afya njema na ndio maana tumeamua hivi.”Alisema Amin Meneja CRDB Njombe.

Akizungumza mara baada ya kupokea vifaa hivyo Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji Njombe Daktari Yesaya Mwasubila amesema kuwa wanaishukuru Benki ya CRDB kwa kuunga mkono jitihada za Halmashauri dhidi ya mapambano ya Ugonjwa wa CORONA na Vifaa hivyo watavipeleka katika maeneo ambayo yanaonekana kuwa na mwingiliano wa watu wengi yakiwemo maeneo ya Hospitali, Stendi na Sokoni.

Jitihada ambazo zimekuwa zikioneshwa na Halmashauri ya Mji Njombe katika mapambano dhidi ya CORONA ni sambamba na kuendelea kutoa elimu ya kujikinga kuhamasisha jamii kutumia maji tiririka na kwa wafanyabiashara kuweka vifaa vya kunawa mikono na kufanya utambuzi wa wageni wanaoingia katika Hoteli ili kujua taarifa zao kabla ya kuendelea na shughuli zozote katika Mji huo.

 

 

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. June 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • WATENDAJI WA VIJIJI NA MITAA WAPEWA MAFUNZO YA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI.

    July 05, 2025
  • RUZUKU YA CHANJO YA MIFUGO,KINGA KWA MAENDELEO YA MIFUGO

    July 05, 2025
  • Dkt. Mhede azindua zoezi la chanjo ya ruzuku kwa mifugo Halmashauri ya Mji Njombe, dozi 227,000 kutolewa kwa ng'ombe na kuku

    July 05, 2025
  • SALAMU ZA SHUKRANI

    July 01, 2025
  • Angalia zote

Video

ZIFAHAMU FAIDA ZA HERENI YA KIELEKTRONIKI KWA NG'OMBE.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe