• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

DAWA KINGA DHIDI YA USUBI KUANZA KUTOLEWA AGOSTI 20,2023.

Tarehe iliyowekwa: August 11th, 2023

Jamii imehamasishwa kujitokeza kupata kinga tiba dhidi ya ugonjwa wa Usubi.

Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe kupitia Idara ya Afya na Ustawi wa jamii imeandaa zoezi la ugawaji wa kinga tiba dhidi ya ugonjwa wa usubi.

Wananchi wote kuaanzia watoto wenye umri wa miaka mitano(5) mnaombwa kujitokeza kupata kinga tiba hiyo.Zoezi hilo litafanywa na wagawa dawa ngazi ya jamii (CDD) nyumba kwa nyumba na kwenye vituo mbalimbali kuanzia Agosti 20,2023 hadi Agosti 27,2023.Vituo vitakavyotumika kutolea kinga tiba hizo ni  pamoja na stendi kuu mpya ya mabasi ,stendi ya zamani,soko kuu,soko la wakulima na kwenye ofisi za halmashauri ya mji njombe zilizopo lunyanywi.

Akizungumza Agosti 11,2023  kwa niaba ya mganga mkuu wa Halmashauri ya Mji Njombe wakati akitoa elimu ya ugonjwa wa usubi kwa timu ya wataalamu wa Halmashauri ya Mji Njombe , Daktari Shella Myemba amesema takwimu za ugonjwa wa usubi mkoani njombe bado zipo juu na maeneo ya kata ya mji mwema , kijiji cha igola , kijiji cha itipula, mamongolo, kata ya kifanya ,madobole, kijiji cha mbega, kijiji cha idihani na St.Donbosco yanaongoza.

Ameeleza kuwa ugonjwa wa usubi ni ugonjwa wa kuambikiza unaosababishwa na nzi wadogowadogo waishio kandokando ya mito yenye maji masafi yanayotembea kwa kasi,nzi hao wanaweza kuruka kilomita 150 kwenda kueneza ugonjwa wakiwa na uwezo wakuachia minyoo midogomidogo elfu moja (1000) kwa siku ambayo inauwezo wa kuishi kwenye mwili wa binadamu kwa miaka kumi(10) hadi miaka kumi na tano (15).

Daktari Shella Myemba ameeleza athari za ugonjwa wa usubi kuwa ni pamoja na kuharibika vibaya kwa ngozi mithili ya ngozi ya kenge au mamba pamoja na kupata upofu wa kudumu

Kutokana na takwimu za sasa za ugonjwa wa usubi  kuwa juu daktari Shella Myemba amesisitiza wale wote waliopatiwa dozi ya  usubi mwezi machi 2023 , kurudia kupata dozi ya pili mara zoezi litakapoanza.

Njombe bila usubi inawezekana jitokeze kupata kinga tiba dhidi ya usubi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe