• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Halmashauri ya Mji Njombe
Halmashauri ya Mji Njombe

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI Halmashauri ya Mji Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Dugange Aipongeza Halmashauri ya Mji Njombe ujenzi wa Miradi ya Afya na Utoaji Asilimia 10 ya Mikopo

Tarehe iliyowekwa: March 1st, 2021

Naibu Waziri OR-TAMISEMI  Dkt, Festo Dugange amefurahishwa na utekelezaji wa miradi ya afya ikiwa ni ujenzi wa vituo 02 vya afya kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri  na utoaji wa mikopo asilimia 10 kwa vikundi vya Wanawake, vijana na walemavu.

Katika ziara yake kwenye Halmashauri ya Mji Njombe ambapo alizungumza na watumishi wa afya Kibena Hospitali na kukagua utoaji wa huduma katika Hospitali hiyo, Dkt. Dugange amesema kuwa  Halmashauri ya Mji Njombe imepiga hatua kubwa hususani katika sekta ya afya kwa  kuweza kujenga vituo vya afya viwili kwa kutumia mapato ya ndani ya Halmashauri, kuboresha miundombinu katika zahanati,ujenzi wa zahanati na ufungaji wa mifumo ya kukusanyia mapato katika vituo vya afya Jambo linaloongeza mapato ya Kituo na kuendelea kusogeza huduma karibu na Wananchi."Halmashauri ziige mfano kutoka Halmashauri ya Mji Njombe. Nikupongeze Mkurugenzi kwa Kasi hii.Kupitia  Miradi hii jamii itakwenda  kunufaika niwapongeze "Alisema Naibu Waziri

Wakati akikagua Vikundi vya Wanufaika wa Mikopo ya Wanawake Vijana na Walemavu ambapo alitembelea kikundi Cha Wanawake  na Kikundi Cha Vijana NJAVIDA  Dkt, Dugange amesema Serikali imetoa mikopo hiyo ili kuhakikisha kuwa Wananchi Wanajipatia kipato."Serikali haiwezi kuajiri vijana wote lazima wengine tujiajiari.Niwapongeze Halmashauri mmeweza kutoa mikopo.Kikundi Cha Vijana NJAVIDA Halmashauri imewapatia milioni 30 na wamenunua mashine za useremala kwa ajili ya kutengeneza samani.Hii ikawe chachu kwa Vijana ambao wanasubiri kuajiriwa"Alisema Naibu Waziri


Matangazo

  • KUITWA KAZINI NA MAFUNZO TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI JIMBO LA NJOMBE MJINI. October 21, 2025
  • TANGAZO LA UCHAGUZI JIMBO LA NJOMBE MJINI. October 19, 2025
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • RC MTAKA AONGOZA MAOMBI YA AMANI KWA TAIFA.

    November 07, 2025
  • MSIMAMIZI WA UCHAGUZI JIMBO NJOMBE MJINI AFUNGUA MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA .

    October 26, 2025
  • MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA 366 WAAPISHWA NA KUPATIWA MAFUNZO JIMBO LA NJOMBE MJINI.

    October 25, 2025
  • KUBWA KULIKO KUWAHI KUTOKEA NJOMBE MJINI

    October 20, 2025
  • Angalia zote

Video

TANGAZO LA UCHAGUZI JIMBO LA NJOMBE MJINI.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe