• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Fedha
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Mipango
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Sheria
      • Nyuki
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

HALMASHAURI YA MJI NJOMBE NA KASI YA KIDIGITALI KATIKA KUPANGA,KUPIMA NA KUMILIKISHA ARDHI

Tarehe iliyowekwa: May 19th, 2022

Halmashauri ya Mji Njombe leo imepokea kifaa cha kisasa cha upimaji ardhi na viwanja chenye thamani ya shilingi milioni 42 ambapo kifaa hicho kitatumika katika kuongeza kasi ya upimaji viwanja na uthibiti wa makazi holela, chanzo cha fedha ikiwa ni mkopo kutoka Wizara ya ardhi,nyumba na maendeleo ya makazi lengo kuu ikiwa ni  kupanga,kupima na kumilikisha.

Akizungumza mara baada ya kupokea kifaa hicho kwa niaba ya Mkurugenzi, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ardhi Amos Luhamba amesema kuwa kifaa hicho kiitwacho “KOLIDA 58Plus” kinakwenda kutatua changamoto ya Halmashauri kutumia fedha kukodi vifaa vya upimaji kutoka Taasisi binafsi na pia kutatua changamoto kubwa ya upimaji  ardhi na viwanja katika Halmashauri kwani  kifaa hicho kilikuwa kinapatikana katika Ofisi za ardhi Mkoa pekee na na  kutumika katika Halmashauri zote 6 za Mkoa wa Njombe kutoa huduma za upimaji na hivyo kupelekea kushindwa kufanya kazi za upimaji kwa wakati kutokana na kuwa na upungufu wa vifaa hivyo.

“Kama Halmashauri tuliona kupitia progaramu ya Wizara ya Ardhi ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha ni vyema kununua kifaa ambacho kinauwezo wa kupima viwanja vingi  kwa wakati mmoja ili kuweza kuwa na maeneo mengi yaliyopimwa na kupangwa na pia kuweza kuwamilikisha Wananchi maeneo yao.Ujio wa kifaa hiki  utasaidia kuwa na makazi bora yaliyopangwa na kuepusha makazi holela ambayo hayana huduma za kijamii.”Alisema AmosAliendelea kusema” Naishukuru Wizara ya Ardhi na Wizara ya fedha kwa kutupatia fedha hizi kwani hatua ya ununuzi wa kifaa hiki pia ni katika kuhakikisha kuwa utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi ambayo inaelekeza kwenye kupanga,kupima na kumilikisha ardhi kufikia mwaka 2020- 2025  na sisi tunakwenda kutekelza kwa vitendo na kwa kasi kubwa.”Alisema

Katika hatua nyingine rai imetolewa kwa Wananchi na Taasisi mbalimbali kuhakikisha kuwa wanachangamkia fursa ya uwepo wa kifaa hicho kwa ajili ya kupimiwa maeneo yao. Aidha wamiliki wa Taasisi wanaopenda kupima maeneo yao wameshauri kutumia fursa hiyo kwani gharama za ukodishaji kwa wenye taasisi zitakuwa ni gharama nafuu.Zoezi la upangaji, upimaji na umilikishwaji ardhi lina faida nyingi ikiwa ni pamoja na  Mwananchi kuwa  na usalama wa umiliki wa ardhi, kusaidia mpangilio wa makazi bora na usalama wa ardhi kwa kuwa na nyaraka muhimu za umiliki na hivyo kuepuka migogoro ya ardhi inayoweza kujitokeza .

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA ZA MAKARANI NA WASIMAMIZI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 06, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI KWENYE ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI HALMASHAURI YA MJI NJOMBE March 25, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DC AFURAHISHWA NA MWENENDO WA UTEKELEZAJI WA MIRADI KATA YA MATOLA

    June 10, 2022
  • ZIARA YA DC KISSA YAWAIBUA WANANCHI KUPATA CHANJO YA UVIKO

    June 09, 2022
  • DC NJOMBE AIELEKEZA IDARA YA ARDHI KUSHUGHULIKIA MGOGORO WA ARDHI NDANI YA WIKI MBILI

    June 08, 2022
  • DC NJOMBE AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI NA KUPIGA MARUFUKU UENDELEZAJI VYANZO VYA MAJI

    June 05, 2022
  • Angalia zote

Video

Makala ya utekelezaji miradi ya maendeleo 2020 Halmashauri ya Mji Njombe
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe