• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Halmashauri ya Mji Njombe yapongezwa usimamizi bora wa rasilimali fedha.

Tarehe iliyowekwa: June 20th, 2023

Halmashauri ya Mji Njombe imepongezwa kwa kuwa na usimamizi bora wa rasilimali fedha ulioiwezesha kupata hati safi kutoka kwa mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Pongezi hizo zimetolewa Juni 19,2023 na Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Judica Omari kwenye mkutano maalumu wa baraza la waheshimiwa madiwani lililokaa kupitia na kujadili hoja za mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2021/2022.

Ameeleza kuwa ukusanyaji na usimamizi mzuri wa mapato kwa Halmashauri ya Mji Njombe ambao mpaka umefikia asilimia 96% umeuwezesha mkoa kwa kiasi kukubwa kufikia lengo na kwamba hana wasiwasi hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Juni asilimia za makusanyo yote zitakuwa zimefikia 100% .

Katika hatua nyingine katibu tawala Judica Omari amesema ili mafanikio haya yaendelee kuwepo ni vyema ushirikiano uliopo uendelee kudumishwa kwa ngazi zote kiutendaji ,huku akitoa wito kwa Halmashauri Nyingine za mkoa wa njombe kuja kujifunza Njombe Mji kwenye suala zima la ukusanyaji na usimamizi wa mapato ili kuweza kufanikiwa na kufikia malengo kwa pamoja.

Kwa kuzingatia ushauri na mapendekezo ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG) katika kushughulikia hoja mbalimbali, kwa mwaka wa fedha 2021/2022,Halmashauri ya Mji Njombe imepata hati safi kwa hesabu kuu za halmashauri,hesabu za mradi wa mfuko wa afya wa pamoja (Health sector Busket fund) na hesabu za mradi wa mfuko wa wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu (WYDF na PWDs) na kuiwezesha kudumu kwenye hati safi kwa kipindi cha miaka minne mfululuzo tangu mwaka 2018 hadi 2022.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe