Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mheshimiwa Anthony Mtaka Mei 14,2024, amewataka wakazi Wilaya ya Ludewa iliyopo Mkoa wa Njombe kujiandaa na mradi pacha wa liganga na mchuchuma kwa kuepuka kuuza maeneo yao hovyo na kusomesha watoto ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zitakazo jitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi huo wa uchimbaji wa madini ya chuma na makaa ya mawe yanayopatikana katika vijiji vya mundindi na mkomango'mbe.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe