• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

KAMATI YA FEDHA NA UTAWALA YARIDHISHWA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAENDELEO

Tarehe iliyowekwa: October 18th, 2023

Kamati ya fedha na Utawala Halmashauri ya Mji Njombe ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Njombe Mhe Erasto Mpete ,Oktoba 18,2023 imefanya ziara yakutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa Halmashauri ya Mji Njombe.

Wajumbe wa kamati hiyo wamepongeza ofisi ya mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe kwa usimamizi mzuri wa fedha za maendeleo zinazotolewa na serikali

“Nimpongeze mkurugenzi pamoja na wataalamu wote kwa kuhakikisha mnasimamia vizuri miradi inayotekelezwa kwa fedha za serikali ,tuendelee kuunga mkono jitihada za Mhe.Rais katika kuwaletea wananchi maendeleo”Alisema Mhe Mpete.

Aidha Mhe Mpete amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa namna kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji  wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Mji Njombe.

Amemshukuru Mhe Rais kwa niaba ya wajumbe wa kamati ya fedha na utawala pamoja na madiwani wote wa Halmashauri ya Mji Njombe baada yakujionea kazi nzuri ambayo imefanywa na fedha za serikali kwenye miradi ya maendeleo.

Katika ziara hiyo wajumbe wa Kamati ya fedha na Utawala walitembelea mradi wa ujenzi wa  shule mpya ya sekondari kata ya makowo(SEQUIP),Ujenzi wa kituo cha afya kata ya luponde,Ujenzi wa madarasa 5,mabweni 3 na vyoo shule ya sekondari Yakobi pamoja na kutembelea kituo cha afya kata ya Mjimwema.

Ikumbukwe kuwa kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/2024 Halmashauri ya Mji Njombe ilipokea fedha kutoka Serikali kuu kwa ajili utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye sekta ya elimu na afya shilingi bilioni 2,078,909,081.01

#Njombetchatukwami

#tunakwendanakasiyamama

#kazizinaendeleanakukamilika

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe