Sauti hii ifike hadi Mamongolo,madaktari hawa watakuwepo kibena hospitali kuanzia tarehe 06 mei hadi 10 mei 2024,tatizo lililokusumbua muda mrefu linaenda kutaliwa.Njoo ukutane na daktari bingwa.Sambaza upendo uonapo tangazo hili, mshirikishe ndugu, jamaa, rafiki, jirani na mwana jamii yeyote.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe