Mkurugenzi wa Halmasahuri ya Nji Njombe Bi.Kuruthum Sadick anawatakia wakulima wote Kheri ya Sikukuu ya wakulima 88 mwaka 2025.
Ametoa rai kwa wakulima kuendelea kufuata ushauri wa wataalamu sambamba na matumizi sahihi ya teknolojia ili kupata tija kwenye sekta ya klilimo.
*Chagua viongozi bora kwa maendeleo endelevu ya kilimo,mifugo na uvuvi 2025".
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe