Halmashauri ya mji Njombe leo tarehe 3.05.2023 katika kikao cha Baraza la waheshimiwa madiwani wamekabidhiwa vishikwambi aina ya (Samsung )ambavyo vitaenda kurahisisha utendaji wa kazi katika shughuli mbalimbali za maendeleo ya wananchi.Vishikwambi hivyo vimenunuliwa kwa mapato ya ndani ya halmashauri.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe