Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Bi.Kuruthum Sadick anautaarifu umma kuwa, katika kipindi cha mwezi Septemba 2025, Halmashauri ya Mji Njombe imepokea jumla ya Shilingi 260,000,000 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Fedha hizi zimetolewa na Serikali kuu ikiwa ni sehemu ya kuimarisha utoaji wa huduma za kijamii na kuchochea maendeleo katika maeneo mbalimbali ya Halmashauri.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe