Katibu Tawala Wilaya ya Njombe George Emmanuel amezindua mwongozo wa usimamizi Elimu Msingi ambapo amewataka Waalimu kuhakikisha kuwa wanausoma mwongozo huo na kutekeleza kwa vitendo.Hayo yamesemwa wakati wa hafla fupi ya kuwakabidhi Waalimu miongozo hiyo hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Njombe.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe