Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Njombe inaendeleza zoezi la kuwafikishia wananchi huduma karibu pamoja nakutoa mrejesho kwa wote waliopata huduma kipindi cha nyuma.Wananchi wote mnakaribishwa kupata huduma na kuwasilisha kero na mapendekezo ili kuboresha huduma kwa maendeleo endelevu ya halmashauri ya mji Njombe.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe