Afisa Ustawi wa Jamii Halmashauri ya Mji Njombe Petro Mahanza akiongozana na Jofrey Mgaya Mratibu Msaidizi wa TASAF Halmashauri ya Mji Njombe pamoja na Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Kambarage Stephan Nyasi, wamemtembelea Mzee Beatus Chaula mkazi wa mtaa huo ambaye anakabiliwa na changamoto mbalimbali za kiuchumi kutokana na umri wake.
Timu hiyo imeweza kubainisha na kuorodhesha mahitaji ya msingi ambayo mzee huyo anatakiwa kupewa ili kutatua changamoto anazokutana nazo.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe