• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Naibu Waziri TAMISEMI ataka miradi ya UVIKO kukamilishwa

Tarehe iliyowekwa: December 20th, 2021

Ikiwa zimebaki siku 10 kufikia muda wa Nyongeza uliotolewa na Serikali kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa, Naibu waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI David Silinde ameitaka Halmashauri ya Mji Njombe kukamilisha Miradi hiyo ambayo  mingi iko katika hatua za mwisho za umaliziaji.

Wito huo umetolewa mara baada ya kukagua ujenzi wa Vyumba viwili vya madarasa katika Shule ya Sekondari Utalingolo na ujenzi wa vyumba vitano vya madarasa katika Shule ya Sekondari Mpechi.

Akizungumza na Wananchi waliofika katika Shule ya Sekondari Luhololo Kata ya Luponde Silinde amesema kuwa Serikali imekua na dhamira ya kuhakikisha kuwa wanafunzi wote waliofaulu kidato cha kwanza wanaingia darasani bila kuwa na awamu ya pili “Second selection”

“Zoezi la ujenzi wa vyumba vya madarasa ni katika Nchi nzima.Lengo lake ni kutatua kero kubwa iliyokuwepo ya upungufu wa madarasa lakini pia kuhakikisha kuwa wale wote wanaofaulu wanaingia darasani kwa mara moja.Na kwa mara ya kwanza Wanafunzi wote waliofaulu kuingia kidato cha kwanza wote wanakwenda darasani mwezi Januari bila ya kuwa na second selection.”

“Serikali pia ipo katika mkakati wa kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za waalimu na ujenzi wa madarasa kwa shule za msingi. Tunajua changamoto ni kubwa lakini kwa kiasi Fulani ujenzi huo utasaidia kutatua changamoto hizo kwa kiasi kikubwa.”Alisema Silinde

Aidha Naibu Waziri amewataka Wazazi na Waalimu  kuhakikisha kuwa wanasimamia nidhamu za Wanafunzi na amewaasa Wanafunzi kutoshiriki katika matukio yanayosababisha  uharibifu wa miundombinu pamoja na kuchoma moto majengo ambayo yameigharimu Serikali fedha nyingi.

Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini Deo Mwanyika na Diwani wa Kata ya Luponde Ultrick Msemwa na Diwani wa Kata ya Mjimwema Mahenge

Kwa upande wake Katibu Tawala Mkoa wa Njombe Judica Omary amemhakikishia Mheshimiwa Naibu Waziri kuwa atahakikisha wanashirikina na uongozi wa Halmashauri kupiga kambi katika maeneo yenye miradi na kuwahimiza mafundi kufanya kazi usiku na mchana ili miradi hiyo iweze kukamilika kwa wakati kuifikia tarehe ambayo imepangwa na Mkoa ya tarehe 24/12/2021

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe