Kwa kutambua umuhimu wa maandalizi sahihi, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Njombe itakuwa kwenye vijiji mbalimbali kutoa elimu ya matumizi sahihi ya mbolea kulingana na aina ya mazao yanayolimwa katika maeneo husika.
Mpango huu unalenga kuwajengea wakulima uelewa wa kisayansi kuhusu mbolea bora, kiasi kinachotakiwa, na wakati sahihi wa matumizi, ili kuongeza tija na ubora wa mazao.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe