• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

NJOMBE KUNUFAIKA NA PROGRAMU YA MABADILIKO YA HALI YA HEWA IKIWA NI SEHEMU YA USHIRIKIANO ULIOANZISHWA KATI YA MJI NJOMBE NA MILTENBERG

Tarehe iliyowekwa: September 30th, 2022

Halmashauri ya Mji Njombe inataraji kunufaika na uhusiano wa kirafiki kati ya Nchi ya Ujerumani Mji wa Miltenberg na Halmashauri ya Mji Njombe ambapo   kiasi cha shilingi bilioni 4 kikitarajiwa kutolewa na Ujerumani kuwezesha  ujenzi  wa dampo kuu la kisasa.Mratibu wa programu hiyo ambaye ni Katibu Tawala Wilaya ya Njombe George Emmanuel amesema kuwa yapo maeneo mengi ambayo Halmashauri itaweza kunufaika kupitia urafiki huu endapo mradi utakaotekelezwa kwa mara ya kwanza utaakisi matumizi ya fedha na ubora wa mradi uliokubaliwa.

"Zipo Manispaa na Majiji ambayo yameanza kunufaika na mahusiano na Nchi mbalimbali.  Jiji la Dar es Salaam wao walianza na kwa sasa wanapokea miradi yenye zaidi ya bilioni 12.Hii ni kutokana na kuwa kwa jinsi walivyopokea fedha na kufanya utekelezaji wa mradi ndivyo ambavyo walivyoongezewa fedha zaidi mpaka kufikia kiwango hicho.Tunavyofanya vizuri ndivyo ambavyo tunaongezewa fedha"Alisema Katibu Tawala

Kai Struber ni Mtaalamu wa  mazingira na uhifadhi wa taka ambaye alisema kuwa Mji wao umepiga hatua kubwa hususani kwenye ukusanyaji na uhifadhi wa taka ambapo taka huanza kwa kutengenishwa kuanzia majumbani mpaka eneo la dampo kuu.Aidha amesema kuwa taka zinazozalishwa mara baada ya kutenganishwa hutumika kutengeneza bidhaa mbalimbali,kutengeneza mbolea na kuzalisha umeme.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. June 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI NJOMBE TC AAGANA NA TIMU ITAKAYOCHEZA SHIMISEMITA.

    August 12, 2025
  • LISHE NA AKIBA YA MAZAO YAHIMIZWA NANENANE.

    August 08, 2025
  • KHERI YA SIKUKUU YA WAKULIMA 88 2025.

    August 08, 2025
  • ELIMU YA UNYONYESHAJI YATOLEWA KWA WAKAZI WA LWANGU

    August 05, 2025
  • Angalia zote

Video

ZIFAHAMU FAIDA ZA HERENI YA KIELEKTRONIKI KWA NG'OMBE.
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe