Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe anawapongeza watumishi wote hodari waliopatiwa tuzo kweye siku ya kimataifa ya wafanyakazi Mei Mosi.
Hongereni sana.Halmashauri inawathaini na inatambua mchango wenu katika kuuletea heshima utumishi wa umma.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe