• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

Rais Dkt. Magufuli aongeza siku 10 kukamilisha ujenzi wa stendi Njombe

Tarehe iliyowekwa: April 10th, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameongeza siku 10 na hivyo kufanya jumla ya siku 30 kukamilisha ujenzi wa stendi mpya Mkoani Njombe ifikapo Mei 10 mwaka huu.

Agizo hilo amelitoa leo wakati akihutubia Wananchi wa Mkoa wa Njombe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya sabasaba Mkoani hapo.

“Wananchi wanalalamika stendi imejengwa miaka mitano  haiishi kila siku kuna tatizo gani stendi ya Njombe isimalizike.Sijui nani atanipa majibu na sababu tutatue harakaharaka hapa labda Mkurugenzi unaweza kunisaidia Mkurugenzi wa Njombe  njoo unieleze hapa kama si wewe nieleze tatizo ni nini?”

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Illuminata Mwenda ameeleza kuwa stendi hiyo iliyojengwa kwa awamu ya kwanza na ya pili toka mwaka 2013 hadi mwaka 2015 na awamu ya tatu ambayo waliamua kuvunja mkataba na Mkandarasi Masasi Construction kutokana na kusuasua kwa ujenzi wa stendi hiyo na hivyo kuchelewesha kumalizika kwa mradi huo.

Josephat Kandege ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, ambaye yeye amesema kuwa tatizo kubwa ni stendi hiyo kuchukua muda mrefu na anakubaliana na Halmashauri kwa kuvunja mkataba wa kwanza na leo amepata fursa ya kuzungumza na mkandarasi mpya ambaye ameahidi ndani ya siku 20 stendi hiyo itakuwa imekamilika.

Mara baada ya taarifa hizo Rais Magufuli aliamua kuongeza muda wa siku kumi na hivyo kufanya siku 30 kukamilika kwa ujenzi wa stendi hiyo.

 “Tunasubiri hizo siku 20 mlizotuahidi na mimi nawaongezea siku kumi jumla 30 stendi ikamilike mpaka tarehe 10 mwezi wa 5 stendi iwe imekamilika kwa kiwango kinachotakiwa” Rais Magufuli

“Kuanzia mwaka 2015 mpaka sasa Njombe inamabadiliko makubwa sana. Hongereni sana Wananjombe hii yote kwa sababu Wananchi wa Njombe ni Wafanyakazi na wanajituma. “Rais Magufuli

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe