• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

SERIKALI MKOANI NJOMBE YAJIPANGA KUPELEKA MIUNDOMBINU MAENEO YA UWEKEZAJI WA KILIMO

Tarehe iliyowekwa: January 11th, 2024

Mkoa wa Njombe umepanga kuhakikisha maeneo yote ya uwekezaji na maeneo ya uzalishaji yanafikika kwa kuwa na miundombinu bora ikiwemo barabara maji na umeme. 


Akizungumza Mkuu wa Mkoa Njombe Mhe Anthony Mtaka Januari 10,2023 katika Mkutano wa Jukwaa la Wadau wa Parachichi Uliofanyika Mjini Njombe amesema Serikali imejipanga kuhakikisha maeneo yote ambayo kunauzalishaji mkubwa kwenye kilimo kunapelekwa miundombinu yote ambayo inatakiwa kwa mkulima ili kukuza Uchumi katika Mkoa wa Njombe na kuwavutia wawekezaji kutoka nje ya Mkoa. 


Aidha Mhe Mtaka amewaonya wazalishaji wa miche ya zao la parachichi kuhakikisha wanazalisha miche ya parachichi yenye ubora na kiwango ili kuleta ushindani kwenye soko la kimataifa. 


“Tunatamani kuona zao la parachichi linalindwa kwa Mkoa wetu wa Njombe tuhakikishe kila mzalishaji wa zao la parachichi anazalisha kwa kiwango ambacho kina kidhi matakwa ya kitaifa na kimataifa kwa lengo la kuwa wazalishaji bora wa zao hilo Afrika na duniani”


Pia Mhe Mtaka amewaonya wakulima na wanunuzi wote wa zao la parachichi ambao watanunua parachichi ambazo hazijakoma kuchukuliwa hatua kwa pande zote mbili (muuzaji na munuaji) ,ambaye hata zingatia maagizo ambayo yametolewa kutoka ofisi ya kilimo ya Mkuu wa Mkoa  Njombe  na kwa wale ambao maeneo yao parachichi zinawahi kukomaa watapewa kibali rasmi  na watavuna kwa tarehe ambayo ofisi ya kilimo itakuwa imewapa ili kuepusha matapeli na watu ambao wana nia ovu ya kuharibu zao hilo .


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wadau wa Mnyororo wa Parachichi Rebecca Hepelwa amesema Mkoa wa Njombe pekee unatarajia kukusanya zaidi ya shilingi Bilioni 38 kwa mwaka 2024 kupitia kilimo cha zao la Parachichi huku akiomba zao la parachichi kulindwa .


Sesilia Mloso Mkaguzi wa Afya ya Mimea Nchini amesema Serikali tayari imeweka mikakati ya kujenga maabara ya kuchakata viuatilifu katika zao la parachichi  Mkoani  Njombe na tayari bajeti kwa mwaka wa fedha 2024 hadi 25 ishatengwa kwa ajili ya ujenzi wa maabara hiyo ambayo itasaidia kwa kiasi kikubwa wakulima wa parachichi kutatua changamoto  katika zao hilo.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI,UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU AWAMU YA PILI. April 25, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA NJOMBE MHE. JUMA SWEDA ATOA WITO KUHUSU CHANJO YA PILI YA POLIO.

    April 29, 2025
  • AFISA MWANDIKISHAJI JIMBO LA NJOMBE MJINI AKUTANA NA VYAMA VYA SIASA

    April 24, 2025
  • ZIARA YA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA NJOMBE KUKAGUA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE WA UHURU 2025

    April 04, 2025
  • Mkuu wa Mkoa wa Njombe awaonya wenyeviti kuhusu uharibifu wa miradi ya maendeleo

    February 15, 2025
  • Angalia zote

Video

WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA KUJITUMA
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe