Katika kuadhimisha Siku ya Maporomoko ya Maji Duniani,Halmashauri ya Mji Njombe inawahamasisha na kuwakaribisha wananchi na wageni wanaofika Njombe kutembelea vivutio vya kipekee vya maporomoko ya maji ya mto Ruhuji na mto Hagafilo.
Maporomoko haya ni hazina ya asili yenye mandhari ya kuvutia, utulivu na hewa safi sehemu bora kwa kupumzika, na kufurahia mazingira ya Njombe.
Karibu Njombe,karibu utembelee maporomoko ya maji ya mto Hagafilo na Ruhuji.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe