• Malalamiko |
    • Barua Pepe |
Njombe Town Council
Njombe Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu na uendelezaji wa Miji na Vijiji
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Mazingira na Usafishaji
      • Ununuzi
      • TEHAMA na Takwimu.
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Election
      • Maliasili na Uhifadhi Mazingira
      • Mawasiliano Serikalini
      • Utamaduni,Sanaa na Michezo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Madini
    • Kilimo na Mifugo
    • Vivutio vya utalii
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Kilimo na Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Afya,Elimu na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Vikao vya Kisheria
      • Vikao vya Madiwani
      • Ratiba ya kumuona Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu za Maombi mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha
    • Jarida

TENGENI MUDA WA KUTOSHA KUWA HUDUMIA WATOTO.

Tarehe iliyowekwa: May 28th, 2024

Wazazi na walezi katika kijiji cha Luponde Halmashauri ya Mji Njombe ,wametakiwa kuzingatia elimu ya lishe inayotolewa kwa kutenga muda wa kuwahudumia watoto wao licha ya kujikita kwenye shughuli za kujitafutia kipato.

Wito huo umetolewa Mei 28,2024 na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Njombe Bi.Kuruthum Sadick kwenye Siku ya Afya na Lishe ya kijiji (SALIKI) iliyofanyika katika kijiji cha Luponde.

 “Tujitahidi kuwa na muda kamili wa kuwa hudumia watoto,tukifundishwa tukayachukua halafu tusiyazingatie itakuwa ni kazi bure, kazi tufanye lakini tupate muda wa kuhudumia watoto,niwaombe wamama wa Njombe, ninaelewa ni watafutaji kwelikweli,asubuhi kabla hujaenda shamba hakikisha unamuandalia mtoto wako lishe iliyo bora.”Alisema Bi.Kuruthum,Mkurugenzi Njombe Mji.

Aidha  amesema ili kuondokana na vitendo vya ukatili kwa watoto ni lazima mama kuwa na muda wa kuzungumza na watoto wake sambamba na kuwachunguza.

 “Licha yakuwalisha watoto tunaona vitendo vibaya vinafanyika kwa watoto,mnashuhudia wenyewe watoto wanabakwa, watoto wananajisiwa ,hii ni kwa sababu wamama tumewaacha watoto wetu hatuna muda nao,mtoto akitoka shule muangalie,muulize huko shuleni leo imekuwaje ,sisi wa mama ndiyo tunatunza familia ,sidhani kama kuna mama anataka kitu kibaya kitokee kwa mtoto wake”.Alisisitiza Bi.Kuruthum

Katika hatua hatua nyingine amewaomba wazazi waliopatiwa elimu kufikisha elimu hiyo kwa waume zao na wazazi wengine sambamba nakuhakikisha wanakuwa na bustani ya mbogamboga nyumbani ili kuwa na uhakika wa upatikanaji wa kundi la mbogamboga kwenye mlo wa familia.

Ili  kufanikisha hilo amemtaka Mtendaji na Afisa kilimo wa kata ya Luponde  kushirikiana na uongozi wa kijiji kutoa elimu ya bustani jiko ili jamii yote ihamasike kupanda mbogamboga nyumbani.

Hali ya udumavu katika Halmashauri ya Mji Njombe imepungua kwa asilimia 3 kutoka 45% Disemba 2022 hadi 42%  mwaka 2024.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI. June 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI UBORESHAJI WA DAFTARI LA MPIGA KURA. December 20, 2024
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 May 19, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA MUDA ZA WATENDAJI WA VITUO VYA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. April 18, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • SALAMU ZA SHUKRANI

    July 01, 2025
  • SIKU NNE ZA KUSIKILIZA KERO NA MAONI YA WANANCHI LIMEHITIMISHWA KWA MAFANIKIO.

    June 30, 2025
  • Mkurugenzi Halmashauri ya Mji Njombe atoa wito kwa Wananchi kujitokeza kupata huduma Stendi ya Zamani.

    June 27, 2025
  • HALMASHAURI YA MJI NJOMBE YAPONGEZWA KWA HATI SAFI

    June 17, 2025
  • Angalia zote

Video

LUNYANYWI FISH FARM YASHUGHULIKIA KERO ZA WAFUGAJI WA SAMAKI NJOMBE TC
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Huduma za Afya
  • Huduma za Elimu
  • Huduma za Biashara

Kurasa Mashuhuri

  • Ofisi ya Rais - TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais - UTUMISHI
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Tovuti ya Mkoa wa Njombe
  • Watumishi portal
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha 5 na vyuo

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya watazamaji

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.

    Sanduku la Posta: S.L.P 577

    Simu ya Mezani: 026-2968833

    Simu ya Mkononi: 026-2968833

    Barua Pepe: td@njombetc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe