Kuelekea Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Jimbo la Njombe Mjini ,Tarehe 05,Januari 2025,Afisa mwandikishaji Jimbo ,Ndg.Samason Medda aliwaapisha watendaji ngazi ya kata kiapo cha kutunza siri. Katika kiapo hicho, watendaji hao wamejivua uanachama wa vyama vya siasa ili kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi na uwazi.
Zoezi la uandikishaji linatarajiwa kuanza Tarehe 12 hadi 18 Januari 2025 ambapo vituo vitakuwa wazi kuanzia saa 2 Asubuhi hadi saa 12 Jioni
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe