AFISA USAFIRISHAJI, DEREVA WA PIKIPIKI YA MATAIRI MAWILI (BODABODA) WAKATI WA KUMCHAGUA KIONGOZI UNAYEMTAKA UMEKARIBIA NI SIKU YA JUMATANO OKTOBA 29,2025.
VITUO VITAKUWA WAZI KUANZIA SAA 1 ASUBUHI HADI SAA 10 JIONI .
KURA YAKO HAKI YAKO,JITOKEZE KUPIGA KURA.
Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe