SIKU 23 ZIMEBAKI KUFIKIA SIKU YA UCHAGUZI MKUU- Afisa usafirishaji unayeendesha pikipiki ya matairi matatu (Bajaji) ambaye ulijiandikisha nakupata kadi ya mpiga kura ,kumbuka maendeleo kwenye sekta ya usafirishaji yanachajizwa na kiongozi utakaye mchagua .
Hakikisha hupotezi haki yako ya msingi ifikapo Oktoba 29,2025, Kura yako Haki Yako,Jitokeze Kupiga Kura.

Ofisi yetu inapatikana barabara ya Njombe-Songea mtaa wa Mjimwema.
Sanduku la Posta: S.L.P 577
Simu ya Mezani: 026-2968833
Simu ya Mkononi: 026-2968833
Barua Pepe: td@njombetc.go.tz
Haki Miliki ©2017 Halmashauri ya Mji Njombe